Serikali ya Tanzania imetangaza kufunga shughuli za Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima.