SHINYANGA EARLYTECH COLLEGE YATANGAZA NAFASI ZA MASOMO YA UFUNDI STADI NA ICT

 

đź””SHINYANGA EARLYTECH INTERNATIONAL COLLEGE INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO YA UFUNDI STADI MWAKA 2026

Chuo kinapokea wanafunzi kwa kozi za ufundi stadi zinazodumu kwa miezi sita (6), ambazo ni:

✔️ Ushonaji wa Nguo na Mitindo
✔️ Mapambo (Decoration)
✔️ Ususi na Mitindo ya Nywele (Hairdressing)
✔️ Kompyuta kwa Wahitimu wa Kidato cha Nne
✔️ Masomo ya Sekondari kwa mfumo wa Miaka Miwili bila malipo

🔹 Pia Tunapokea Wanafunzi wa:

✔️ Kozi za ICT ngazi ya Level I, II na III
✔️ Udereva wa Magari, Bajaji na Pikipiki

Masomo Yataanza: Januari 13, 2026

📍 Mahali: Shinyanga – Barabara ya Old Shinyanga, Nyuma ya Kom Sekondari
📞 Mawasiliano: 0741 098 863

✨ Karibu SEIC – Karibu katika Ulimwengu wa teknolojia!

Post a Comment

0 Comments